Kamati ya Bunge imeridhishwa na Ujenzi wa Ofisi ya msajili wa vyama vya Siasa, Kiwanda cha uchapaji wa nyaraka za Serikali

Na Barnabas Kisengi Dodoma Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria imeonesha kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Ujenzi wa Kiwanda cha Uchapaji wa Nyaraka za Serikali Mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria Mhe. Joseph Mhagama